KAULI YA MHESHIMIWA WAZIRI WA HAKI ZA BINADAMU USTAWI WA JAMII NA JINSIA KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA MSICHANA, toleo la 2019
1. Mnamo Oktoba 11 ya kila mwaka, Burundi inajiunga na nchi zingine za ulimwenguni kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Msichana. Ni siku ya kujiuliza, ya …