KAULI YA MHESHIMIWA WAZIRI WA HAKI ZA BINADAMU, USTAWI WA JAMII NA JINSIA KUHUSU UWANZIRISHAJI WA KAMPENI YA SIKU 16 ZA KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WASICHANA, TOLEO LA 2019
Na Elie HARINDAVYI 1. Mnamo Novemba 25 ya kila mwaka, Burundi inajiunga na nchi zingine za ulimwengu katika kuzindua rasmi Kampeni ya Siku 16 ya …