KAULI YA MHESHIMIWA WAZIRI WA HAKI ZA BINADAMU, USTAWI WA JAMII NA JINSIA KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA WATU WENYE ULEMAVU, TOREO YA 2018
Ndugu zanguni, Mabibibi na mabwana; 1. Desemba 3 ya kila mwaka, ulimwengu wote unadhimisha siku ya kimataifa ya watu wenye ulemavu. 2. Ili Serikali ya …