KAULI YA MHESHIMIWA WAZIRI WA HAKI ZA BINADAMU, USTAWI WA JAMII NA JINSIA KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA MSICHANA, TOREO YA 2018
Wananchi wapendwa, Tangu 2012, Siku ya Kimataifa ya Msichana imeadhimishwa kila mwaka mnamo Oktoba 11. Siku hii ina lengo la kuonyesha mahitaji ya wasichana na …