12 août 2022

Mhe. Imelde SABUSHIMIKE amempokea Balozi Omar Daair

Jumanne hii Januari 25, 2022 jijini Bujumbura, Mhe. Imelde SABUSHIMIKE, Waziri wa Mshikamano wa Kitaifa, Masuala ya Kijamii, Haki za Binadamu na Jinsia akimpokea kwa hadhara Balozi wa Uingereza nchini Burundi Mh Omar Daair.

Mhe. Imelde SABUSHIMIKE, Waziri wa Mshikamano wa Kitaifa, Masuala ya Kijamii, Haki za Binadamu na Jinsia pomoja na Mhe Balozi wa Uingereza nchini Burundi Mh Omar Daair (picha na Elie HARINDAVYI)

Katika mkutano wao, walijadili mwelekeo mpya wa ushirikiano na Burundi katika uwanja wa ulinzi wa kijamii, haki za binadamu na jinsia.

Mhe. Imelde SABUSHIMIKE, Waziri wa Mshikamano wa Kitaifa, Masuala ya Kijamii, Haki za Binadamu na Jinsia pomoja na Mhe Balozi wa Uingereza nchini Burundi Mh Omar Daair (picha na Elie HARINDAVYI)

Balozi wa Uingereza nchini Burundi anayeishi Kigali alikuwa amefanya ziara ya kikazi nchini Burundi ili kujadili mwelekeo mpya wa ushirikiano baina ya nchi hizo mbili.

Elie HARINDAVYI

Le Coordonnateur de la Cellule de Communication et d'Information du Ministère des Droits de la Personne Humaines, des Affaires Sociales et du Genre

Voir tous les articles de Elie HARINDAVYI →